Wakolosai 4:12
Wakolosai 4:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Epafra, mwananchi mwenzenu na mtumishi wa Kristo Yesu, anawasalimuni. Daima anawaombeeni nyinyi kwa bidii ili mpate kusimama imara, mkomae na kuwa thabiti kabisa katika mambo yote anayotaka Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4Wakolosai 4:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Epafra, aliye mtu wa kwenu, mtumwa wa Yesu Kristo, awasalimu, akifanya bidii siku zote kwa ajili yenu katika maombi yake, ili msimame mkiwa wakamilifu na kuthibitika kabisa katika mapenzi yote ya Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 4