Wakolosai 3:24
Wakolosai 3:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kumbukeni kwamba atawapeni tuzo lile alilowawekea watu wake. Mtumikieni Kristo Bwana!
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3