Wakolosai 3:23-24
Wakolosai 3:23-24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kila mfanyacho, fanyeni kwa moyo wote, kwa sababu ya Bwana na si kwa ajili ya mtu. Kumbukeni kwamba atawapeni tuzo lile alilowawekea watu wake. Mtumikieni Kristo Bwana!
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:23-24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lolote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:23-24 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Lo lote mfanyalo, lifanyeni kwa moyo, kama kwa Bwana, wala si kwa wanadamu, mkijua ya kuwa mtapokea kwa Bwana ujira wa urithi. Mnamtumikia Bwana Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3