Wakolosai 3:2-3
Wakolosai 3:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Muwe na hamu ya mambo ya huko juu, na siyo mambo ya hapa duniani. Maana nyinyi mmekufa na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi. Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi. Kwa maana mlikufa, na uhai wenu umefichwa pamoja na Kristo katika Mungu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3