Wakolosai 3:18-19
Wakolosai 3:18-19 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi wake, watiini waume zenu, kwani ndivyo apendavyo Bwana. Nanyi waume, wapendeni wake zenu, na msiwe wakali kwao.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:18-19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ninyi wake, watiini waume zenu, kama ipendezavyo katika Bwana. Ninyi waume, wapendeni wake zenu msiwe na uchungu nao.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3