Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 3:17 - Compare All Versions

Wakolosai 3:17 BHN (Biblia Habari Njema)

Na, kila mfanyacho kwa neno au tendo, fanyeni vyote kwa jina la Bwana Yesu na kumshukuru Mungu Baba kwa njia yake.

Shirikisha
Wakolosai 3 BHN

Wakolosai 3:17 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.

Wakolosai 3:17 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na kila mfanyalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.

Shirikisha
Wakolosai 3 SUV

Wakolosai 3:17 NEN (Neno)

Lolote mfanyalo, ikiwa ni kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kupitia kwake.

Shirikisha
Wakolosai 3 NEN