Wakolosai 3:16
Wakolosai 3:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Ujumbe wa Kristo na ukae ndani yenu pamoja na utajiri wake wote. Fundishaneni na kushauriana kwa hekima yote. Imbeni Zaburi, nyimbo na tenzi za kiroho; mwimbieni Mungu mioyoni mwenu kwa shukrani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:16 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3