Wakolosai 3:1-2
Wakolosai 3:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, ikiwa mmefufuka pamoja na Kristo, panieni mambo ya juu, kule Kristo aliko, ameketi upande wa kulia wa Mungu. Muwe na hamu ya mambo ya huko juu, na siyo mambo ya hapa duniani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi katika mkono wa kulia wa Mungu. Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3Wakolosai 3:1-2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Basi mkiwa mmefufuliwa pamoja na Kristo, yatafuteni yaliyo juu Kristo aliko, ameketi mkono wa kuume wa Mungu. Yafikirini yaliyo juu, siyo yaliyo katika nchi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 3