Wakolosai 2:9-10
Wakolosai 2:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, ndani yake Kristo katika ubinadamu wake, umo ukamilifu wote wa Mungu, nanyi mmepewa uhai kamili katika kuungana naye. Yeye yuko juu ya pepo watawala wote na wakuu wote.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana katika yeye unakaa utimilifu wote wa Mungu, kwa jinsi ya kimwili. Na ninyi mmetimilika katika yeye aliye kichwa cha enzi yote na mamlaka.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2