Wakolosai 2:8
Wakolosai 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Angalieni, basi, mtu asiwapotoshe kwa udanganyifu mtupu wa hekima ya kibinadamu, ambayo chanzo chake ni mafundisho ya mapokeo ya watu na ya pepo watawala, na wala si Kristo mwenyewe!
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Angalieni mtu asiwafanye mateka kwa elimu yake ya bure na madanganyo matupu, kwa jinsi ya mapokeo ya wanadamu, kwa jinsi ya mafundisho ya awali ya ulimwengu, wala si kwa jinsi ya Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2