Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Wakolosai 2:6 - Compare All Versions

Wakolosai 2:6 BHN (Biblia Habari Njema)

Maadamu nyinyi mmemkubali Kristo Yesu aliye Bwana, basi, ishini katika muungano naye.

Shirikisha
Wakolosai 2 BHN

Wakolosai 2:6 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, ishini vivyo hivyo katika yeye

Wakolosai 2:6 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Basi kama mlivyompokea Kristo Yesu, Bwana, enendeni vivyo hivyo katika yeye

Shirikisha
Wakolosai 2 SUV

Wakolosai 2:6 NEN (Neno)

Hivyo basi, kama vile mlivyompokea Kristo Yesu kuwa Bwana, endeleeni kukaa ndani yake

Shirikisha
Wakolosai 2 NEN