Wakolosai 2:3-4
Wakolosai 2:3-4 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu. Basi, nawaambieni, msikubali kudanganywa na mtu yeyote kwa maneno ya uongo hata kama ni ya kuvutia sana.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:3-4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika. Nasema neno hili, mtu asije akawadanganya kwa maneno ya kuwashawishi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2