Wakolosai 2:23
Wakolosai 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli, masharti hayo yaonekana kuwa ya hekima kwa namna ya ibada wanayojishurutishia, unyenyekevu, na kuutendea mwili kwa ukali; lakini hayafai chochote kuzuia tamaa za mwili.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mambo hayo yanaonekana kana kwamba yana hekima, katika namna ya ibada mliyojitungia wenyewe, na katika kunyenyekea, na katika kuutawala mwili kwa ukali; lakini hayafai kitu kwa kuzizuia tamaa za mwili.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2