Wakolosai 2:2-3
Wakolosai 2:2-3 Biblia Habari Njema (BHN)
Nafanya hivi kusudi mioyo yao ifarijiwe na kuvutwa pamoja katika upendo, ili wajazwe uthabiti mwingi uletwao na elimu ya kweli. Hapo wataijua siri ya Mungu ambayo ni Kristo mwenyewe. Ndani yake zimefichika hazina zote za hekima na elimu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:2-3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:2-3 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
ili wafarijiwe mioyo yao, wakiunganishwa katika upendo, wakapate utajiri wote wa kufahamu kwa hakika, wapate kujua kabisa siri ya Mungu, yaani, Kristo; ambaye ndani yake yeye hazina zote za hekima na maarifa zimesitirika.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2