Wakolosai 2:18
Wakolosai 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Msikubali kuhukumiwa na mtu yeyote anayejitakia kuwa wa maana kwa sababu ya maono ya pekee na ambaye anasisitiza juu ya unyenyekevu wa uongo na ibada kwa malaika. Mtu wa namna hiyo amepumbazika kwa fikira danganyifu za kidunia
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu asiwanyang'anye thawabu yenu, kwa kunyenyekea kwa mapenzi yake mwenyewe tu, na kuabudu malaika, akijitia katika maono yake na kujivuna bure, kwa akili zake za kimwili
Shirikisha
Soma Wakolosai 2