Wakolosai 2:16
Wakolosai 2:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, basi, msikubali kupewa masharti na mtu yeyote kuhusu vyakula au vinywaji, siku za sherehe, sikukuu ya mwezi mpya au Sabato.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au vinywaji, au kwa sababu ya sikukuu au mwandamo wa mwezi, au sabato
Shirikisha
Soma Wakolosai 2