Wakolosai 2:14
Wakolosai 2:14 Biblia Habari Njema (BHN)
alifutilia mbali ile hati ya deni iliyokuwa inatukabili na masharti yake, na kuifuta kabisa kwa kuipigilia msalabani.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akiisha kuifuta ile hati iliyoandikwa ya kutushitaki kwa hukumu zake, iliyokuwa na uadui kwetu; akaiondoa isiwepo tena, akaigongomea msalabani
Shirikisha
Soma Wakolosai 2