Wakolosai 2:13
Wakolosai 2:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Wakati mmoja nanyi mlikuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kwa sababu nyinyi mlikuwa watu wa mataifa mengine. Lakini Mungu amewapa nyinyi uhai pamoja na Kristo. Mungu ametusamehe dhambi zetu zote
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na ninyi mlipokuwa mmekufa kwa sababu ya makosa yenu na kutotahiriwa kwa mwili wenu, aliwafanya hai pamoja naye, akiisha kutusamehe makosa yote
Shirikisha
Soma Wakolosai 2