Wakolosai 2:12
Wakolosai 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, mlipobatizwa mlizikwa pamoja na Kristo, na katika ubatizo mlifufuliwa pia pamoja naye kwa kuamini katika nguvu ya Mungu ambaye alimfufua Kristo kutoka kwa wafu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mkazikwa pamoja naye katika ubatizo; na katika huo mkafufuliwa pamoja naye, kwa kuziamini nguvu za Mungu aliyemfufua katika wafu.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2