Wakolosai 2:11
Wakolosai 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Katika kuungana na Kristo nyinyi mlitahiriwa, lakini si kwa tohara ifanywayo na watu, bali inayofanywa na Kristo mwenyewe, na ambayo inahusikana na kukombolewa kutoka katika utu wa dhambi.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Katika yeye mmetahiriwa kwa tohara isiyofanyika kwa mikono, kwa kuuvua mwili wa nyama, kwa tohara ya Kristo.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2