Wakolosai 2:1
Wakolosai 2:1 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Napenda mjue jinsi ninavyofanya kazi kwa bidii kwa ajili yenu, kwa ajili ya watu wa Laodikea na kwa ajili ya wote ambao hawajapata kuniona kwa macho.
Shirikisha
Soma Wakolosai 2Wakolosai 2:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Maana nataka ninyi mjue jinsi ilivyo kuu juhudi yangu niliyo nayo kwa ajili yenu, na kwa ajili ya wale wa Laodikia, na wale wasioniona uso wangu katika mwili
Shirikisha
Soma Wakolosai 2