Amosi 8:8
Amosi 8:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, dunia itatetemeka na kila mtu nchini ataomboleza. Nchi yote itayumbayumba; itapanda na kushuka, kama yanavyojaa na kupwa maji ya mto Nili!”
Shirikisha
Soma Amosi 8Amosi 8:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa ajili ya hayo, je! Haitatetemeka nchi, na kuomboleza kila mtu akaaye ndani yake? Naam, itainuka yote pia kama huo Mto; nayo itataabika na kupwa tena kama Mto wa Misri.
Shirikisha
Soma Amosi 8