Amosi 8:3
Amosi 8:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Siku hiyo, nyimbo za ikulu zitakuwa maombolezo. Kutakuwa na maiti nyingi, nazo zitatupwa nje kimyakimya.”
Shirikisha
Soma Amosi 8Amosi 8:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena nyimbo za hekaluni zitakuwa vilio siku ile, asema Bwana MUNGU; mizoga itakuwa mingi; kila mahali wataitupa, wakinyamaza kimya.
Shirikisha
Soma Amosi 8