Amosi 7:2
Amosi 7:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa, nzige walipokwisha kula majani ya nchi, ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, samehe, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
Shirikisha
Soma Amosi 7Amosi 7:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwaona nzige hao wakila na kumaliza kila jani katika nchi. Ndipo nikasema: “Ee Bwana Mwenyezi-Mungu, nakusihi utuhurumie! Wazawa wa Yakobo watawezaje kuishi? Wao ni wadogo mno!”
Shirikisha
Soma Amosi 7Amosi 7:2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ikawa, nzige walipokwisha kula majani ya nchi, ndipo nikasema, Ee Bwana MUNGU, samehe, nakusihi; Yakobo atasimamaje? Kwa maana ni mdogo.
Shirikisha
Soma Amosi 7