Amosi 7:14
Amosi 7:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Amosi akamjibu Amazia, “Mimi si nabii wa kuajiriwa, wala si mmoja wa kikundi cha manabii. Mimi ni mchungaji na mtunza mikuyu.
Shirikisha
Soma Amosi 7Amosi 7:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Amosi akajibu akamwambia Amazia, Mimi sikuwa nabii, wala sikuwa mwana wa nabii; bali nilikuwa mchungaji, na mtunza mikuyu
Shirikisha
Soma Amosi 7