Amosi 7:10
Amosi 7:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Amazia kuhani wa mji wa Betheli, akampelekea mfalme Yeroboamu wa Israeli habari hizi: “Amosi analeta fitina juu yako katika ufalme wa Israeli. Hotuba zake ni hatari kwa nchi hii.
Shirikisha
Soma Amosi 7Amosi 7:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo Amazia, kuhani wa Betheli, akapeleka habari kwa Yeroboamu, mfalme wa Israeli, akisema, Amosi amefanya fitina juu yako kati ya nyumba ya Israeli; nchi haiwezi kustahimili maneno yake yote.
Shirikisha
Soma Amosi 7