Amosi 6:6
Amosi 6:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Mnakunywa divai kwa mabakuli, na kujipaka marashi mazuri mno. Lakini hamhuzuniki hata kidogo juu ya kuangamia kwa wazawa wa Yosefu.
Shirikisha
Soma Amosi 6Amosi 6:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ninyi mnaokunywa divai katika mabakuli, na kujipaka marhamu iliyo nzuri; lakini hawahuzuniki kwa sababu ya mateso ya Yusufu.
Shirikisha
Soma Amosi 6