Amosi 3:7-8
Amosi 3:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Hakika, Bwana Mwenyezi-Mungu hafanyi kitu bila kuwafunulia watumishi wake manabii nia yake. Simba akinguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana Mwenyezi-Mungu akinena, ni nani atakataa kuutangaza ujumbe wake?
Shirikisha
Soma Amosi 3Amosi 3:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hakika Bwana MUNGU hatafanya neno lolote, bila kuwafunulia watumishi wake manabii siri yake. Simba amekwisha kunguruma, ni nani asiyeogopa? Bwana MUNGU amenena, ni nani awezaye neno ila kutabiri?
Shirikisha
Soma Amosi 3