Amosi 3:1
Amosi 3:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Enyi Waisraeli, sikilizeni neno Mwenyezi-Mungu alilosema dhidi yenu, enyi taifa zima alilolitoa nchini Misri
Shirikisha
Soma Amosi 3Amosi 3:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lisikieni neno hili alilolisema BWANA juu yenu, enyi wana wa Israeli, juu ya jamaa yote niliowapandisha kutoka nchi ya Misri, nikisema
Shirikisha
Soma Amosi 3