Amosi 2:11
Amosi 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwateua baadhi ya wana wenu wawe manabii, na baadhi ya vijana wenu wawe wanadhiri. Je, enyi Waisraeli, haya nisemayo si ya kweli? Mimi Mwenyezi-Mungu nimesema.
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nikawainua watu miongoni mwa wana wenu wawe manabii, na katika vijana wenu wawe Wanadhiri; je! Sivyo hivyo, enyi wana wa Israeli? Asema BWANA.
Shirikisha
Soma Amosi 2