Amosi 2:10
Amosi 2:10 Biblia Habari Njema (BHN)
Niliwatoeni kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza kupitia jangwani miaka arubaini, mpaka mkaichukua nchi ya Waamori kuwa yenu.
Shirikisha
Soma Amosi 2Amosi 2:10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Pia niliwapandisha ninyi kutoka nchi ya Misri, nikawaongoza muda wa miaka arubaini jangwani, ili mpate kuimiliki nchi ya Mwamori.
Shirikisha
Soma Amosi 2