Matendo 9:7
Matendo 9:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu.
Shirikisha
Soma Matendo 9Matendo 9:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na wale watu waliosafiri pamoja naye wakasimama kimya, waliisikia sauti, lakini hawakuona mtu.
Shirikisha
Soma Matendo 9