Matendo 9:15
Matendo 9:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9Matendo 9:15 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
Lakini Bwana akamwambia Anania, “Nenda! Mtu huyu ni chombo nilichochagua kutangaza jina langu kwa watu wa Mataifa na wafalme wao na watu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9Matendo 9:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Bwana akamwambia, “Nenda tu, kwa maana nimemchagua awe chombo changu, alitangaze jina langu kwa mataifa na wafalme wao na kwa watu wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9Matendo 9:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Bwana akamwambia, Nenda tu; kwa maana huyu ni chombo kiteule kwangu, alichukue Jina langu mbele ya Mataifa, na wafalme, na wana wa Israeli.
Shirikisha
Soma Matendo 9