Matendo 8:4-5
Matendo 8:4-5 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe. Naye Filipo aliingia katika mji wa Samaria na kumhubiri Kristo kwa wenyeji wa hapo.
Shirikisha
Soma Matendo 8Matendo 8:4-5 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huku na huko wakilihubiri neno. Filipo akateremka akaingia katika mji wa Samaria, akawahubiria Kristo.
Shirikisha
Soma Matendo 8