Matendo 8:4
Matendo 8:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Wale waumini waliotawanyika, walikwenda kila mahali wakihubiri ule ujumbe.
Shirikisha
Soma Matendo 8Matendo 8:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini wale waliotawanyika wakaenda huku na huko wakilihubiri neno.
Shirikisha
Soma Matendo 8