Matendo 8:37
Matendo 8:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Filipo akasema, “Kama unaamini kwa moyo wako wote unaweza kubatizwa.” Naye akajibu, “Naam, ninaamini kwamba Yesu Kristo ni Mwana wa Mungu.”]
Shirikisha
Soma Matendo 8Matendo 8:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Filipo akasema, Ukiamini kwa moyo wako wote, inawezekana. Akajibu, akanena, Naamini ya kwamba Yesu Kristo ndiye Mwana wa Mungu.]
Shirikisha
Soma Matendo 8