Matendo 6:8
Matendo 6:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alimjalia Stefano neema tele, akampa nguvu nyingi hata akawa anatenda miujiza na maajabu kati ya watu.
Shirikisha
Soma Matendo 6Matendo 6:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na Stefano, akijaa neema na uwezo, alikuwa akifanya maajabu na ishara kubwa katika watu.
Shirikisha
Soma Matendo 6