Matendo 5:41
Matendo 5:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya Jina hilo.
Shirikisha
Soma Matendo 5Matendo 5:41 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mitume wakatoka nje ya lile Baraza wakiwa wamejaa furaha, kwani walistahili kuaibishwa kwa ajili ya jina la Yesu.
Shirikisha
Soma Matendo 5Matendo 5:41 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wakatoka katika ile baraza, wakifurahi kwa sababu wamehesabiwa kuwa wamestahili kuaibishwa kwa ajili ya Jina hilo.
Shirikisha
Soma Matendo 5