Matendo 5:3
Matendo 5:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Petro akamwuliza, “Anania, mbona Shetani ameuingia moyo wako na kukufanya umdanganye Roho Mtakatifu kwa kujiwekea sehemu ya fedha ulizopata kutokana na lile shamba?
Shirikisha
Soma Matendo 5Matendo 5:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akasema, Anania, kwa nini Shetani amekujaza moyo wako kumwambia uongo Roho Mtakatifu, na kuhifadhi kwa siri sehemu ya thamani ya kiwanja?
Shirikisha
Soma Matendo 5