Matendo 4:1
Matendo 4:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Petro na Yohane walipokuwa bado wanawahutubia watu, makuhani na mkuu wa walinzi wa hekalu pamoja na Masadukayo walifika.
Shirikisha
Soma Matendo 4Matendo 4:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata walipokuwa wakisema na watu wale, makuhani na walinzi wa hekalu na Masadukayo wakawatokea
Shirikisha
Soma Matendo 4