Matendo 3:6
Matendo 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Petro akamwambia, “Sina fedha wala dhahabu, lakini kile nilicho nacho nitakupa. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, tembea!”
Shirikisha
Soma Matendo 3Matendo 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini Petro akasema, Mimi sina fedha, wala dhahabu, lakini nilicho nacho ndicho nikupacho. Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareti, simama uende.
Shirikisha
Soma Matendo 3