Matendo 3:22
Matendo 3:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa maana Mose alisema, ‘Bwana Mungu wenu atawapelekeeni nabii kama mimi kutoka kati yenu nyinyi wenyewe.
Shirikisha
Soma Matendo 3Matendo 3:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana Musa kweli alisema ya kwamba, Bwana Mungu wenu atawainulieni nabii, katika ndugu zenu, kama mimi; msikieni yeye katika mambo yote atakayonena nanyi.
Shirikisha
Soma Matendo 3