Matendo 3:14
Matendo 3:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Alikuwa mtakatifu na mwema; lakini nyinyi mlimkataa, mkataka mtu mwingine aliyekuwa muuaji afunguliwe.
Shirikisha
Soma Matendo 3Matendo 3:14 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Bali ninyi mlimkana yule Mtakatifu, yule Mwenye haki, mkataka mpewe mwuaji
Shirikisha
Soma Matendo 3