Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:37-38 - Compare All Versions

Matendo 27:37-38 BHN (Biblia Habari Njema)

Jumla tulikuwa watu 276 katika meli. Baada ya kila mmoja kula chakula cha kutosha, walipunguza uzito wa meli kwa kutupa nafaka baharini.

Shirikisha
Matendo 27 BHN

Matendo 27:37-38 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulikuwa watu mia mbili na sabini na sita. Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.

Shirikisha
Matendo 27 SRUV

Matendo 27:37-38 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Na sisi tuliokuwa ndani ya merikebu tulipata watu mia mbili na sabini na sita. Walipokwisha kushiba wakaipunguza shehena ya merikebu, wakiitupa ngano baharini.

Shirikisha
Matendo 27 SUV

Matendo 27:37-38 NEN (Neno)

Ndani ya meli tulikuwa jumla ya watu mia mbili na sabini na sita (276). Baada ya watu wote kula chakula cha kutosha, wakapunguza uzito wa meli kwa kutupa ngano baharini.

Shirikisha
Matendo 27 NEN