Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:29-30 - Compare All Versions

Matendo 27:29-30 BHN (Biblia Habari Njema)

Kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi. Wanamaji walitaka kutoroka, na walikwisha kuteremsha ule mtumbwi majini, wakijisingizia kwamba wanakwenda kuteremsha nanga upande wa mbele wa meli.

Shirikisha
Matendo 27 BHN

Matendo 27:29-30 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Wakachelea tusije tukapwelewa mahali penye miamba, wakatupa nanga nne za tezi, wakaomba kuche. Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo

Shirikisha
Matendo 27 SRUV

Matendo 27:29-30 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Wakachelea tusije tukapwelewa mahali penye miamba, wakatupa nanga nne za tezi, wakaomba kuche. Na baharia walipotaka kukimbia na kuiacha merikebu, wakiishusha mashua baharini kana kwamba wanataka kutupa nanga za omo

Shirikisha
Matendo 27 SUV

Matendo 27:29-30 NEN (Neno)

Wakiogopa kwamba meli yetu ingegonga kwenye miamba, wakashusha nanga nne za nyuma ya meli, wakawa wanaomba kupambazuke. Katika jaribio la kutoroka kutoka kwa meli, mabaharia wakashusha mashua ya kuokolea watu baharini, wakijifanya kwamba wanaenda kushusha nanga za omo.

Shirikisha
Matendo 27 NEN