Matendo 27:28 - Compare All Versions
Matendo 27:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Hivyo walitafuta kina cha bahari kwa kuteremsha kamba iliyokuwa imefungiwa kitu kizito, wakapata kina cha mita arubaini. Baadaye wakapima tena wakapata mita thelathini.
Shirikisha
Matendo 27 BHNMatendo 27:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wakatupa bildi wakapata pima ishirini, wakaendelea kidogo wakatupa bildi tena, wakapata pima kumi na tano.
Shirikisha
Matendo 27 SRUVMatendo 27:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakatupa bildi wakapata pima ishirini, wakaendelea kidogo wakatupa bildi tena, wakapata pima kumi na tano.
Shirikisha
Matendo 27 SUVMatendo 27:28 NEN (Neno)
Kwa hiyo wakapima kina cha maji na kukuta kilikuwa pima ishirini; baada ya kuendelea mbele kidogo, wakapima tena wakapata kina cha pima kumi na tano.
Shirikisha
Matendo 27 NEN