Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Matendo 27:22-23 - Compare All Versions

Matendo 27:22-23 BHN (Biblia Habari Njema)

Lakini sasa ninawaombeni muwe na moyo; hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake; meli tu ndiyo itakayopotea. Kwa maana jana usiku malaika wa yule Mungu ambaye mimi ni wake na ambaye mimi ninamwabudu alinitokea

Shirikisha
Matendo 27 BHN

Matendo 27:22-23 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu. Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye nimwabuduye, alisimama karibu nami

Shirikisha
Matendo 27 SRUV

Matendo 27:22-23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Sasa nawapeni shauri, iweni na moyo mkuu, kwa maana hapana hata nafsi mmoja miongoni mwenu atakayepotea, ila merikebu tu. Kwa maana usiku huu wa leo malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake, naye ndiye nimwabuduye, alisimama karibu nami

Shirikisha
Matendo 27 SUV

Matendo 27:22-23 NEN (Neno)

Sasa ninawasihi sana, jipeni moyo kwa kuwa hakuna hata mmoja wenu atakayepoteza maisha yake, ila meli itaangamia. Jana usiku, malaika wa Mungu yule ambaye mimi ni wake na ninayemwabudu alisimama karibu nami

Shirikisha
Matendo 27 NEN