Matendo 27:11
Matendo 27:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini yule ofisa alivutiwa zaidi na maoni ya nahodha na ya mwenye meli kuliko yale aliyosema Paulo.
Shirikisha
Soma Matendo 27Matendo 27:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini yule ofisa akawasikiliza nahodha na mwenye merikebu zaidi ya yale aliyoyasema Paulo.
Shirikisha
Soma Matendo 27