Matendo 26:11
Matendo 26:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mara nyingi niliwafanya waadhibiwe katika masunagogi yote nikiwashurutisha waikane imani yao. Hasira yangu kwao ilikuwa kubwa hata nikawasaka mpaka miji ya mbali.
Shirikisha
Soma Matendo 26Matendo 26:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na mara nyingi katika masinagogi yote niliwaadhibu, nikawashurutisha kukufuru; nikawaonea hasira kama mwenye wazimu, nikawaudhi hata katika miji ya ugenini.
Shirikisha
Soma Matendo 26