Matendo 24:27
Matendo 24:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya miaka miwili, Porkio Festo alichukua nafasi ya Felisi, akawa mkuu wa mkoa. Kwa kuwa alitaka kujipendekeza kwa Wayahudi, Felisi alimwacha Paulo kizuizini.
Shirikisha
Soma Matendo 24Matendo 24:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na miaka miwili ilipotimia, Feliki akampokea Porkio Festo atawale badala yake. Na Feliki, akitaka kuwafanyia Wayahudi fadhili, akamwacha Paulo akiwa amefungwa.
Shirikisha
Soma Matendo 24